BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 3, 2012 #21 wanaume wengine wakizipata yanalia mbwata mbwata..... Usikute dharau iliongezeka ndani ya nyumba, au mwanaume analala nje, amani hakuna nk........ Loh pole kwa hiyo familia
wanaume wengine wakizipata yanalia mbwata mbwata..... Usikute dharau iliongezeka ndani ya nyumba, au mwanaume analala nje, amani hakuna nk........ Loh pole kwa hiyo familia
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Mar 3, 2012 #22 mmmh, hivi bora kula tembele, watoto kusoma kayumba, kupanga, kupanda daladala kuliko mme kupepesa macho nje???
mmmh, hivi bora kula tembele, watoto kusoma kayumba, kupanga, kupanda daladala kuliko mme kupepesa macho nje???