Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
NCHI HII WAJINGA NI WENGI SANAKwa ccm hii bila wananchi kuinuka kusema hapana hawa watu hawawezi kutupa wananchu uhuru wetu!
kwamba hapo ndio umeonyesha hoja nzito na uchunguu mkubwa wa katiba mpya, na kwahivyo uungwe mkono na mtu mzima mwenye hekima, busara zake na mwenye akili timamu kabisa, na labda ana familia piaKwanamna mambo yalivyo ni dhahiri shahiri kwamba kuipata Katiba Mpya bila ccm KULAZIMISHA nakama ndoto ya mchana kweupe, hawa jamaa wanajua kabisa kwamba Katiba Mpya itawaweka pembeni. Sasa watailetaje? WANANCHI tuamke kwa umoja wetu tuwaambie bila kupepesa macho kwamba muda wenu umekwisha tupisheni, vinginevyo tutaangamia kama wapumbavu huku tukiangaliana.
View attachment 2888206