Huu si uchochezi. Atakayeona hivyo, basi na aone hivyo.
Ni ukweli.
Wananchi wanaamua hivi, kikundi kidogo kabisa cha mabepari/mafirauni wanaamua vinginevyo wanavyotaka kwa maslahi binafsi.
Hakuna demokrasia Tanzania.
Sasa tuamue...kama tunajitoa muhanga au tuache tukilia kwenye miba wakati wenzetu wachache wakitutawala kwa mabavu na kuishi maisha ya peponi.