The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuka WanaJF!
Nilishaletaga uzi humu kipindi cha nyuma kuhusu Belarus na Rais wao Alexander Lukashenko.
Huyu mtu Ni Yesu AnamLinda. Ni mkristo wa Orthodox anayemuamini Mungu na hataki uppuuz. Alishapewaga offer ya Belarus kuingia EU akilegeza msimamo akamuambia Angela Merkel na EU go to hell hawezi kuruhusu Ushoga na akaapa akiwa Hai kamwe ndoa ya jinsi a moja hata wahi kutoka Belarus.
Ni mtu anayemtegemea Mungu sana. Kanisa la orthodox halina upuuzi upuuzi. Romania walipiga kura kabisa hawamtaki upuuzi wa ushoga. Georgia kupitia Kanisa la Orthodox wamekataa kujiunga EU kwasababu ya Ushoga wamesema we can't let Jesus down. Serikali ya Ugiriki na Bulgaria ni wapuuz Ila Kanisa la Orthodox limekataa.
Serikali ya Ukraine ni wapuuz pia wako kimbelembele Lukashenko apinduliwe lakini wa Ukraine wengi wanamuunga mkono kwasababu Belarusian ni ethnic Ukrainians ni mipaka tu ndio imewatenga ni kama wamasai wa Tanzania na Kenya.
JESUS protect Alexander Lukashenko.
Hii picha ya jana Lukashenko akiwa kwenye maombi kambini jeshini