Bilali live on Friday Night Live Show

Weka picha basi mkuu sio mnalisifia tu hili bwabwa
 
Sio tu gigy hata sam mwenyewe, ni siielewi especially wadada wanaokuja pale kucheza si kucheza sijui hata ni nini,ngoja tuwaachie wanaopenda kukiangalia hicho kipindi...
Mimi sitaki hata kumuongelea huyo Sam maana ananichefuaga anavyojichetua balaa.
Anajikuta handsome na komwe lake kama beberu....
Wanaoangalia hicho kipindi wanajiweza,si bora nipige umbea JF?
 

Attachments

  • 1452323279434.jpg
    46.8 KB · Views: 68
  • 1452323289245.jpg
    47.8 KB · Views: 69
  • 1452323300913.jpg
    47.8 KB · Views: 62
  • 1452323311894.jpg
    33.8 KB · Views: 82
  • 1452323320568.jpg
    40.1 KB · Views: 69

Haaaaa umenichekesha sana
we kama mimi... mie nikajua yule Balali sijui ikabidi nifungue fasta
 
Kuna wanaume wamerogwa nadhani..Hivi watt wote wazuri town unawaacha unaenda kuliinamisha choko kama hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…