Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,574
- 4,856
hiv huwa ni nini maana namimi nimekumbana nalo sana unakuta kwa mwezi maji yametoka mara nne lakini bili inakuja kubwa..niliwaambia waje wanichekie mita kama ipo vizuri wakaja wakadai haina shida ukicheki bili kwamwezi Unit 40 wakati hapo mwanzo unit zilikuwa 5-12 na matumiz ni yale yale..Kila nayemuuliza anakumbia bili ya.maji ya mwezi january inayotumwa mwezi huu imekuwa kubwa kupita maelezo.
Binafsi nyumba nayolipa bili unit 12 bili.mwezi huu imekuja unit 125.
Nadhani kuna matatizo ya mfumo au watu hawamuogopi Raisi huko Dawasa. Enzi ya magufuli hakuna ambaye anaweza kuchezea mfumo wa bili za maji maana walikuwa wanajua kitakachowapata.
Jirani mmoja nyumba haikaisha.na hana.ujenzi analipaga.unit 3 kaletewa bili unit 20.
Dawasa tunaomba maelezo ya kina na tuombwe radhi kwa matatizo.ya mfumo au ndio mnakusanya bila mantiki
Yupo kotazi na bili inalipwa na taasisiMuambie ChoiceVariable akusaidie.