Ijumaa iliyopita niliamua kuwatembelea baada ya kusikia sifa zenu. Kwa kweli nilichokutana nacho ni matatizo ya hali ya juu. Baada ya kupiga ndovu nane niliamua kujipumzisha counter na kupitiwa na usingizi. Baada ya kuamka nilijikuta sina laki nane zangu, sina saaa na blackberry yangu ikawa imenitoka. Kama mnataka kupata wateja basi jaribuni kuimarisha ulinzi, vinginevyo mtapoteza wateja wenu hivihivi

Lakini nimeshafungua kesi tayari. Hivi sheria inasemaje juu ya mtu kuibiwa club?
Mwita, hebu acha kuanzisha thread za kitoto hapa!
Utatukanwa halafu useme cdm wamekutukana.
Stop this nonsense!
Huwezi kumshitaki mtu utathibitisha vipi uliingia na hivyo vitu ? ulionyesha mlangoni ? tena una bahati kuna vijana pale wangedai we ndugu yao wanakupeleka nyumbani baada ya kukunukisha madawa ya kulevya,na kuishia kukuoa bila mahari wala sherehe.Ijumaa iliyopita niliamua kuwatembelea baada ya kusikia sifa zenu. Kwa kweli nilichokutana nacho ni matatizo ya hali ya juu. Baada ya kupiga ndovu nane niliamua kujipumzisha counter na kupitiwa na usingizi. Baada ya kuamka nilijikuta sina laki nane zangu, sina saaa na blackberry yangu ikawa imenitoka. Kama mnataka kupata wateja basi jaribuni kuimarisha ulinzi, vinginevyo mtapoteza wateja wenu hivihivi
Samahanini wakuu mtoa mada ameshakula ban. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe. Amen
sheria inasema ulipoingia club ulikuwa na buku tatu na nokia ya tochi bila kusahau ulikuwa tayari umeshalewa kibuku na ulivuta bangi ambayo ilikupelekea kuona nokia ya tochi kuwa blackberry na buku tatu kuwa laki nane!Lakini nimeshafungua kesi tayari. Hivi sheria inasemaje juu ya mtu kuibiwa club?