Ijumaa iliyopita niliamua kuwatembelea baada ya kusikia sifa zenu. Kwa kweli nilichokutana nacho ni matatizo ya hali ya juu. Baada ya kupiga ndovu nane niliamua kujipumzisha counter na kupitiwa na usingizi. Baada ya kuamka nilijikuta sina laki nane zangu, sina saaa na blackberry yangu ikawa imenitoka. Kama mnataka kupata wateja basi jaribuni kuimarisha ulinzi, vinginevyo mtapoteza wateja wenu hivihivi
Acha na mimi nijipe fagio.
Ebana kweli pale Bills ulinzi ni hafifu sana.
Kuna siku nilienda pale nikapaki Vogue yangu ambayo niliijaza mafuta full tank.
Kumbuka hapo nilitoka kudroo vilaki tano ambavyo nilichanganya na zile laki saba zilizo kwenye Àcha upuuzi
Orait! Orait! nimekukumbuka si ulipaki karibu na Lamborggini yangu na yule ulikuwa naye hakuwa huyu Miss Tanzania aliyemaliza muda wake ? lol!Acha na mimi nijipe fagio.
Ebana kweli pale Bills ulinzi ni hafifu sana.
Kuna siku nilienda pale nikapaki Vogue yangu ambayo niliijaza mafuta full tank.
Kumbuka hapo nilitoka kudroo vilaki tano ambavyo nilichanganya na zile laki saba zilizo kwenye wallet zikawa kama 1.2M.
Kwenye akaunti nilibakisha kama 50M.
Baada ya kuingia nikaagiza wine kumbe badala ya kutoa noti ya elfu10 kumbe nikatoa noti3 nikizani ni moja tu.
Yule mhudumu hakuniambia.
Da! pale Bils sio kabisa.