Bilionea Mwengine Apatikana Merarani

Bilionea Mwengine Apatikana Merarani

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Mawe makubwa mawili ya Tanzanite yamepatikana ndani ya machimbo ya Mirerani kutoka kwa mchimbaji mdogo, Anselm J Kawishe. Mawe hayo yanatarajiwa kununuliwa na Serikali kwa shilingi Bilioni 2.2.

#StarTvUpdates
FB_IMG_16615939934131937.jpg
 
Huko serikalini mna uhakika yale mawe yaliyonunuliwa bado yapo?

Hongera kwake bilionea
 
Hakika mama ansupiga mwingi. Unaambiwa Tozo ya hilo jiwe ni Mil 800
 
Haya mawe yanapatikana katika intervals nzuri...., yaani tukisahau tu mwingine anapata, kwa hii trend tutegemee huyu huyu au awamu ijayo mwingine kupata jiwe la thamani kubwa...,
 
Hongera zake mwamba.....

Ila Laizer alitisha alipiga billion 7 dah alafu Yuko simpo 2......
 
Back
Top Bottom