Bilionea Saniniu Laizer ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba

Bilionea Saniniu Laizer ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Bilionea wa Tanzanite Saniniu Laizer leo ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya pamoja na Uongozi wa TANTRADE.
1594559570820.png

1594559603366.png
 
Rubega ya ccm. Ananyemelea madaraka au ni woga maana hii serikali haitabiriki.
 
Anaenzi mila na tamaduni zake.
Uzungu haujapata nafasi kwake, pia usasa hauja mtawala
Mashuka ndio uzamani? KUmbuka hayo Mashuka yameletwa na Mibeberu sisi tuna *natural suit*
 
Back
Top Bottom