Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Anaenzi mila na tamaduni zake.Mbona havai suti? Shuka za nn
Au hela za majoka
[emoji23][emoji23]
Atapewa ambavyo hajawahi kuonja 😂Huyu mpuuzi akiingia kwenye mtego wa amber rutty atajuta mamaaee...
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umewaza nini? Ukute mjini anawindwa huyu mno.Huyu mpuuzi akiingia kwenye mtego wa amber rutty atajuta mamaaee...
Hahahaha!!!mkuu nacheka,Ukistaajabu ya Billion 7 utayaona ya Billion 3.Umesahau Shinyanga jamaa kapata Billion 3 nayeye akatangazwa Billionaire.?Hivi nikiwa na milioni saba naitwa "milionea"?
Wabongo mkipata hela mnawaza ngono tu,mzee wa watu anaonekana Hana ulimbukeni Kama wakoHuyu mpuuzi akiingia kwenye mtego wa amber rutty atajuta mamaaee...
Tunaweza kuwa tunaongoza kwa Mabilionea Afrika.Hahahaha!!!mkuu nacheka,Ukistaajabu ya Billion 7 utayaona ya Billion 3.Umesahau Shinyanga jamaa kapata Billion 3 nayeye akatangazwa Billionaire.?
Mbona havai suti? Shuka za nn
Au hela za majoka
[emoji23][emoji23]
We mwache tu..[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umewaza nini? Ukute mjini anawindwa huyu mno.
Yupo simple sana .Bilionea wa Tanzanite Saniniu Laizer leo ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya pamoja na Uongozi wa TANTRADE.
View attachment 1504626
View attachment 1504629
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona havai suti? Shuka za nn
Au hela za majoka
[emoji23][emoji23]
Mashuka ndio uzamani? KUmbuka hayo Mashuka yameletwa na Mibeberu sisi tuna *natural suit*Anaenzi mila na tamaduni zake.
Uzungu haujapata nafasi kwake, pia usasa hauja mtawala