Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Kuhusu kaya hewa upo sahihi kabisa, nakumbuka mwaka 2020 zilihakikiwa upya, kulikuwa na kaya hewa na zisizostahili nyingi sana.Kati ya program za serikali ambazo hazina tija ni hii TASAF. Badala ya kuondoa umaskini, inaongeza umaskini. Kwanza, gavo inapoteza pesa nyingi kwa kulipia kaya fake. Pili, ile pesa wakipewa, inaishia kwenye pombe na kununua nyama.
Serikali ifanye tathmini ya kina, kupitia wanufaika, kuona namna pesa zinavyopotea. Wasiwatumie viongozi wa Tasaf Wa wilaya na halmashauri.
Kabisa.Kuhusu kaya hewa upo sahihi kabisa, nakumbuka mwaka 2020 zilihakikiwa upya, kulikuwa na kaya hewa na zisizostahili nyingi sana.
Kwasasa angalau zimepunguzwa punguzwa ingawa baadhi ya maeneo nafikiri hazikosekani.
Pesa nyingi inaishia kuwaneemesha wengine na sio targeted ones.