Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mambo kama haya hutokea kwa watu wasio na mipango endelevu, na wakurupukaji. Pale walitakiwa kuukarabati tu huo uwanja wa uhuru kama kilichotokea kwenye ule uwanja wa Amani Zanzibar!Sijawahi kuelewa kwa nini serikali ilijenga viwanja viwili vyenye matumizi sawa sehemu moja.
Yani serikali nayo haitaki kutafuta maeneo mapya wanasema tutabanana hapa hapa
Tena! Na Tena, na Tena! Hizo kamba zitakuja kuwakaba shingo kabla ya uchaguzi.Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.
Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
Someni na somesheni Watoto. Uzalendo pekee hautoshi kwenye dunia ya kibepari.Why always wachina?
Kina Maganga, Uiso, Kimweri, Mwakabusi, Rwegasira na Mapunda hawawezi kufanya hiyo shughuli?
Hawa kina Mangungo na Ndugai lini wataanza kupewa kazi kubwa kwenye nchi Yao.
Au nimekosea wajameni?
Watanzania kila siku WANAPEWA kazi za kujenga makalvat Mbagala.
Kama SUMA walijenga Ikulu Dodoma Uwanja wa Uhuru una Nini?
Mnajifanya wazalendo lkn mmetanguliza maslahi binafsi. Nani asiyejua mainjinia wa tanrosds wanahongwa mabilioni ili wachina wajenge barabara substandard??!!
Hizo bilion 19 si wangeendelea kudunduliza wakajenga uwanja mwingine mbeya au mwanzan
Kubanana ni jadi yetu; iko kwenye damu yetu. Ujenzi nyumba zetu wetu ni wa kubanana banana; utakuta nyumba ya kawaida tu lakini eti ina vyumba sita, kwanja ambavcho kilitakiwa kiwe na nyumba mija tu, mtu atajenga nyumba bili au tau. Kubanana ni jadi yetu kabisa.Sijawahi kuelewa kwa nini serikali ilijenga viwanja viwili vyenye matumizi sawa sehemu moja.
Yani serikali nayo haitaki kutafuta maeneo mapya wanasema tutabanana hapa hapa
Kipaumbele always huwa ni dar. Huko mikoani lambda chenchi ikibakiHizo bilion 19 si wangeendelea kudunduliza wakajenga uwanja mwingine mbeya au mwanza
Hizo bilion 19 si wangeendelea kudunduliza wakajenga uwanja mwingine mbeya au mwanza
Ninegtarajia uwanja ujengwe upya kabisa ile uwe wa kisasa kuliko kukarabati hiyo design ya kizamani.Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China.
Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
Huyu huyu Mwana FA awaze hivi? Kiukweli hakuna maendeleo yoyote katika hivi viwanja kama vitaendelea kuwa chini ya CCM.Mimi ningekuwa na mamlaka nchi hii ningefanya yafuatayo:
1. Ningevirudisha serikalini viwanja vyote vya michezo vilivyochukuliwa na CCM
2. Ningeunda Taasisi ya kusimamia na kuboresha viwanja vyote vya michezo na vya wazi nchini. Viwanja vyote kuanzia vikubwa kama Mkapa, mashuleni hadi vya mitaani vinakuwa chini yake. Taasisi hii itakuwa inafanya kazi na Wizara za Michezo, Ardhi na TAMISEMI.
3. Mengine yanafuata baada ya hapo katika kuweka standard na kuzisimamia
Wazipeleke kirumba pale inatosha kabisa kuwa na pitch kali na majukwaa yakafunikwa vizuri tu.Hizo bilion 19 si wangeendelea kudunduliza wakajenga uwanja mwingine mbeya au mwanza