N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Apr 26, 2024 #21 Beberu said: Huo wa uhuru waufanye maalumu kwa soka, watoe zile running tracks Click to expand... Kumbuka tisa desemba kuna kwata linapigwa pale
Beberu said: Huo wa uhuru waufanye maalumu kwa soka, watoe zile running tracks Click to expand... Kumbuka tisa desemba kuna kwata linapigwa pale
dong yi JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 5,906 Reaction score 8,243 Apr 26, 2024 #22 awamu ya kutakatisha pesa hii..... Amaan wamekarabati kwa bil 30, mkapa kwa bil 30, leo uhuru bil 20 huyu mama hata haoni aibu.....kwel bora unyimwe vyote sio akili
awamu ya kutakatisha pesa hii..... Amaan wamekarabati kwa bil 30, mkapa kwa bil 30, leo uhuru bil 20 huyu mama hata haoni aibu.....kwel bora unyimwe vyote sio akili
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Apr 26, 2024 #23 Mkalukungone mwamba said: Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China. Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7. Click to expand... Hii nchi inaonyesha Kuna fedha za Bure🥺
Mkalukungone mwamba said: Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China. Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7. Click to expand... Hii nchi inaonyesha Kuna fedha za Bure🥺
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Apr 26, 2024 #24 Twin Tower said: Wazipeleke kirumba pale inatosha kabisa kuwa na pitch kali na majukwaa yakafunikwa vizuri tu. Click to expand... Pesa ya serikali ikakarabati uwanja wa CHAMA?
Twin Tower said: Wazipeleke kirumba pale inatosha kabisa kuwa na pitch kali na majukwaa yakafunikwa vizuri tu. Click to expand... Pesa ya serikali ikakarabati uwanja wa CHAMA?
F FRAVIAN BIRU Member Joined Dec 15, 2023 Posts 12 Reaction score 3 Apr 27, 2024 #25 Sasa io hela si wangejenga uwanja mwingine af kwann kampun inayojenga ni ya kujenga reli😁