Bilioni 2 za Universal Zazuia kutoka video ya D'mond + Neyo, Rate of return yake ni ndogo

We ni timu fulan acha kuombea mabaya kwa wenzio ondoa hako karoho ka kwanini "soon video itaachiwa'
 
Mtoa post acha kuzusha habari na kutunga.
Ziara ya neyo ya UK ilihairishwa kutokanana kuingiliana kwa ratiba, mwezi ya 12 neyo alikuwa bize anashoot series mpya ya movies ya jennifar Lopez itakayo anza kuruka mwaka huu.

Boss, naomba kueleweshwa kidogo hapo kwenye red. Series ya movies ndiyo ikoje?
 
Samahani.

Ukiacha Diamond mwenyewe kusema kuwa alilipwa bilioni 2 Na Universal alafu akalipa kodi milioni 35 je kuna ushahidi mwingine wowote kuwa kweli jamaa alilipwa hela Hiyo?

Maana wote tunajua kuwa jamaa wako ni hodari wa kuongeza sifuri Na kujisifu kwa habari za uongo uongo.
 
Ata me pía hapa naona waliongeza sifuri bilin mbili kodi mil 35 uongoz wa mag
 
Kuna kitu hakijakaa vizuri na ujumbe wako meimbo eti ukitoka itunes, lini hiyo?

Hivi mnaandika mnafikiri mwimbo ukitoka huko waliouimba hawatajua nakuutangaza?

Inasikitisha muhabari mrefu hata kumaliza nimeshindwa, sababu mengi naona hayana umaana na ya ulimwengu huu.
 
Hahah wazee wa Vijisababu...!Vp ile Royce Rolls ya domo imeshafika dar?
 
Kupenda sio kuzuri habari nzuri za domo km kununua Royce full shangwe na vigeregere humu tena hakuna anayejua km kweli au uongo lkn zitapokelewa na kupewa ukweli 100% lkn sasa zije habari za mambo ya domo kwenda mrama zitapingwa hata kwa upanga,pole kaka mkubwa ila mashabiki zako ni so funnyyyyyyy[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wanadhani wewe Mungu mtu no majanga,challenge ndo chachu ya mafanikio lazma domo utapata jambo la kujifunza kupitia hili
 
Salome wame wameto univeso?kama Nassib amelamba B2,hawezi kupata presha chake kimeshaingia,Nassib usimfananishe na watu wazembe kama Ali kiba,show Dodoma tu inavurugika,Nassib anapiga show AFCON ,Kiba size yake ni Babu Ayubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…