Bilioni 20 Zimewekwa kinyongee Utadhani hakuna kilicho tokea. Umuhimu wa Manara Upo

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma

Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.

Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Wana Simba wamelainishwa na tabasamu la Babra na kumtosa baharini Haji Manara bila hata kutaka kujua ukweli wa madai yake. Kweli Simba hamna kitu pale. Timu imeshauzwa kwa 100% na kitendo chenu cha kukalia kimya haki ndogo za Manara zikikwapuliwa ni nyundo ya mwisho ya mnada iliowanyang'anya umiliki mdogo mliokuwa mmebakiwa nao.
Sasa its official kuwa Simba inamilikiwa na watu wawili kama alivyodai Haji Manara.
 
Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma

Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.

Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwanza hivi kwann anasema tu kiasi alichoweka Simba SC Kwa miaka 4 lkn hasemi Simba SC imeingiza kiasi gan kwa miaka 4.
Hii inaitwaje kitaalam ndugu zangu
 
Hivi kwanini Yanga mnapata taabu sana kuhusu simba!!?😂😂😂😂😂

Sisi wenye nayo tumetulia tuuli lkn cha kushangaza wanaopata taabu haata hawahusiani na timu😂😂😂😂

Mtapata taabu saaanaa.

Lkn labda kweli maana kazi ya maskini ni kumpigia makofi tajiri. Pengine mpo katika majukumu yenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma

Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.

Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwa Wana Simba SC Wapumbavu wengi na mliojaa Uswahili mwingi ni lazima tu mtauona Umuhimu wa Mnafiki na Msaliti Haji Manara, ila kwa wana Simba SC makini, werevu na tunaojitambua vyema tumepongeza mno Simba SC kuachana rasmi na Haji Manara kwani alikuwa anaenda Kuiharibu kabisa 'Brand' ya Klabu na Kusababisha Migongano na Wadau hasa Wanahabari na Corporates mbalimbali nchini.
 
Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma

Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.

Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nenda ukashtaki CAS Mo anyang'anywe hizo hisa.
 
Tupo tunamalizia mchakato wa mwisho kabisa wa kuifanya hii timu iwe ya familia kabisa
 
Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma

Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.

Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mwambieni aende Gwambina au hata Azam akaifanye iwe na mvuto na awahamasishe mashabiki wao waujaze taifa
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom