Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Kwa sasa hawawezi kutambua yote hayo,ila ukitumia kiona mbali utaiona simba ikiandamwa na mgogoro mzito wa kimasirahi kutoka familia ya tajiri,Simba ina milikiwa na dewji na familia yake.
Kwanza hivi kwann anasema tu kiasi alichoweka Simba SC Kwa miaka 4 lkn hasemi Simba SC imeingiza kiasi gan kwa miaka 4.Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma
Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.
Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wa ulaya na sio Africa, ndio maana mo unamuona anaongea na waandishi Ila Yule wa man city haujawahi kumuonaUzito wa nini, Matajiri wengi hawapendi mbwembwe
Kwanza hivi kwann anasema tu kiasi alichoweka Simba SC Kwa miaka 4 lkn hasemi Simba SC imeingiza kiasi gan kwa miaka 4.
Hii inaitwaje kitaalam ndugu zangu
Anasema Kwa neno moja Tu kuwa Simba imeingiza hasaraKwanza hivi kwann anasema tu kiasi alichoweka Simba SC Kwa miaka 4 lkn hasemi Simba SC imeingiza kiasi gan kwa miaka 4.
Hii inaitwaje kitaalam ndugu zangu
Mmh ayaAnasema Kwa neno moja Tu kuwa Simba imeingiza hasara
Kwa Wana Simba SC Wapumbavu wengi na mliojaa Uswahili mwingi ni lazima tu mtauona Umuhimu wa Mnafiki na Msaliti Haji Manara, ila kwa wana Simba SC makini, werevu na tunaojitambua vyema tumepongeza mno Simba SC kuachana rasmi na Haji Manara kwani alikuwa anaenda Kuiharibu kabisa 'Brand' ya Klabu na Kusababisha Migongano na Wadau hasa Wanahabari na Corporates mbalimbali nchini.Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma
Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.
Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nenda ukashtaki CAS Mo anyang'anywe hizo hisa.Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma
Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua na Kipaji cha kuzaliwa.
Simba itaanza kupoteza mvuto na hata hiyo B20 haitazaa kama matarajio
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Simba wamekuwa wadogo sanaSimba ina milikiwa na dewji na familia yake.
Pesa ni kitu ingine.Kwa sasa hawawezi kutambua yote hayo,ila ukitumia kiona mbali utaiona simba ikiandamwa na mgogoro mzito wa kimasirahi kutoka familia ya tajiri,
Mwambieni aende Gwambina au hata Azam akaifanye iwe na mvuto na awahamasishe mashabiki wao waujaze taifaWadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma