Kenya 2022 Bilioni 3.9 za Mgombea Mwenza wa Urais Kenya zataifishwa na Serikali

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mahakama Kuu nchini humo imeruhusu Serikali kutaifisha Tsh. Bilioni 3.9 sawa na Ksh.200,000,000 za Mgombea Mwenza wa Urais wa Kenya Kwanza, Rigathi Gachagua kwa kushindwa kueleza jinsi alivyozipata kutoka kwa Mashirika ya Serikali.

Mnamo 2020, Mahakama Kuu ilizuia kuhamisha au kutumia fedha hizo baada ya kiongozi huyo Kushukiwa kwa Utakatishaji fedha zikiwemo kutoka kwa Kampuni au Mashirika ya Biashara yanayotoa huduma kwa Wizara, Mashirika ya Serikali na Mamlaka za Kaunti.

.................................................

High Court Judge Esther Maina ruled on Thursday that the lawmaker, who is also the Kenya Kwanza Deputy President nominee, has failed to explain how he acquired the wealth from government agencies. In 2020, the High Court froze Sh200 million belonging to Mr Gachagua pending a petition by a State agency for the money to be forfeited to the government.

Documents filed in court showed the funds are suspected to be proceeds of crime because they are payments to companies associated with the legislator and which emanated from government agencies. According to the Assets Recovery Agency (ARA), preliminary investigations established that Mr Gachagua and Jenne Enterprises Limited were involved in a suspected complex scheme of money laundering.

The funds emanated from the Ministry of Lands (Kenya Informal Settlements Programme), State Department for Special Planning, Ministry of Health, Bungoma County government, Mathira Constituency Development Fund, Nyeri County government and the National Irrigation Board. Justice John Onyiego of the Anti-Corruption Division of the High Court stopped the MP and Jenne Enterprises from dealing with or transferring the funds.

The funds at Rafiki Micro Finance Bank are held in three accounts, with one holding Sh165 million, a second account holds Sh35 million while the other holds Sh773,228. All the three are registered in the MP’s name.

A fourth account, holding Sh1,138,142, is registered in the name of Jenne Enterprises. Documents filed in court showed that within seven years, the MP received Sh5.8 billion, which included funds from companies or business entities providing services to ministries, state agencies and county governments.

It is alleged that on March 30, the agency received information on suspected complex money-laundering schemes and proceeds of crime. The agency opened an inquiry and subsequently applied for and was issued with warrants to investigate the accounts. Further, the documents stated that after being transferred to companies or business entities, the funds were ultimately moved to a fixed deposit account, which is Mr Gachagua’s personal account.

“That within the said period, there were massive suspicious cash withdrawals, transfers, inter and intra-bank transfers from other accounts to the accounts under investigations and other bank accounts owned by Mr Gachagua in suspicious complex money-laundering schemes,” the agency said.

“There are reasonable grounds to believe that the suspect’s bank accounts were used as a conduit for money laundering in efforts to conceal, disguise the nature, source, disposition and movement of illicit funds and should be preserved,” the agency submitted to court.

ARA argued that it was apprehensive that unless the court intervenes, the MP was likely to withdraw the funds and defeat the cause of justice.

Sources:
Daily Nation, Nation.Africa
 
Sasa Sheria za Kenya zinasemaje katika hili?, Bado huyu mtu anaruhusiwa kugombea nafasi ya uongozi wa nchi?
Tony254
Don YF
Nicxie

Sijawahi kusikia nchi ya hovyo Kama Kenya, Sasa mnaelewa kwanini Kenya Ina bajeti kubwa lakini hakuna kinachoonekana kufanyika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Alieweka pesa kwenye account ya Ligathe ni nani, alikuwa na maana Gani, ilikuwa na lengo Gani, hayo ni maswali mepesi tu ya kujiuliza. Seeklai inampa jamaa promo na airtime ya Bure. Na Kenya kwanza wanashinda huu uchaguzi ila uamuzi utatolewa na mahakama. Kitanuka Tena kama kawaida Yao.
 
Kwa jinsi wanasiasa walivyo iwapo atapa urai mshikaji wake atamrejeshea hicho kiasi double huku akimuomba msamaha (sisi watanzania ni witness wa hizo siasa, serikali ya Dkt Magufuli ilitumia sheria ya money laundering, ika freeze hela nyingi za rushwa, imekuja serikali ya sasa inasema walionewa na hela zimerejeshwa tena wameombwa na msamaha.). So Kenyans don’t trust politicians, vote kwa mtu mwenye nia ya kuwatumikia wakenya.
 
Zimebaki siku chache tunzeni hii quotes mlete mrejesho.Ipo hivi duniani nzima ikiwemo serikali zote za duniani zipo chini ya nguvu za mamlaka ya watawala wa ulimwengu usioonekana, chochote kabla hakijafanyika ktk ulimwengu wa macho tayari kilishafanyika au afikiwa ktk ulimwengu usioonekana.
Uwe unataka utaki unakubali ukubali sisi sote tunaongozwa na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu ambazo zipo ktk ulimwengu wa siri.
Kama serikali tu inawatambua wazee mfano wazee wa Dar ukadhani ni wazee as wazee sababu ya mvi au umri upo nyuma upo wrong,wale ni watu wazito Sana katk ulimwengu ulionekana wapo physical kuwakilisha wakuu wa ulimwengu usioonekana.
Ni SAwa na vatican, vatican si kama vatican ni zaidi ya vatican,thus wakuu wote wa duniani bila kujali dini ni lazima wasalute kwa Pope. Raila Odinga alimshinda UHURU uchaguzi uliopita akawa ajakubaliana masharti ya wakuu wa dunia thus akachezewa mchezo akapewa UHURU, Then anaitwa akaitwa akayakubali masharti thus anachukua this time hata Kenyatta analijua hili ndo maana kaamua kuwa upande wa Raila.
Kwann kambi ya Raila itashinda.
1.Wakenya wamechoka kutawaliwa na kabila/ ukanda mmoja miaka yote, wanataka kubadilisha ladha.
2.Kambi ya Odinga ni strong Ina wagombea smart na wameshauzika miaka mingi sana yaani Odinga na Martha Karua kuliko kambi ya Ruto pia ni wanasiasa mahiri na ni wachapa Kazi wakenya wanaona watavusha na sio ile kambi ya mafisadi.
3.Kambi ya ODIMA yaani Martha na Odinga Ina makampeni meneja smart na makini Sana kuliko kambi ya Ruto.
4.Ruto anajibomboa mwenyewe kwa kauli zake za chuki na visasi na ukosefu wa nidhamu.
5.Ruto ana visasi hana utulivu wa akili yaani sio matured and civilized enough kuongoza nchi,kiburi mjuaji mapepe yaani saikolojia yake haijabalance bado kulinganisha na Odinga,pia ni dictator hofu atawaletea machafuko wa Kenya.
6.Wakuu wa duniani hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu, Kenya ni muhimu Sana kama base ya kucontrol East, and Central Afrika ikiwemo Ghuba ya Aden. Utulivu wa Kenya ni muhimu Sana kwa interest zao.
7.Katika ulimwengu usioonekana wao chaguo lao ni Odinga kwa maana ni rahisi kumcontrol kinyota na sio Ruto yeye hayupo kabisa kwenye radar zao.

Wiki ijayo sio mbali tunzeni post hii.RAILA AMORO ODINGA ndie next president wa Kenya.Upige kura usipige kura tayari wakubwa wa Dunia walishapanga Odinga
 
Back
Top Bottom