ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wana Arusha wanasema mama mi 5 tena Ili kazi Iendelee.
Ahadi imetekelezwa Arusha: Serikalini kuanza Ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa MK-ICC Uliokwama Kwa miaka 18. Wadau, Hii renders Mnaionaje?
👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DHBIr5bIUEA/?igsh=cmZjaHJuZTB3NzMz
My Take
Baada ya kusubiria Kwa mda mrefu hatimaye mama amefanya kweli Serikali: Miji ya Arusha, Dar, Zanzibar na Dodoma kuipaisha Tanzania kuwa Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani.Ukumbi wa 2 kwa Ukubwa Afrika kujengwa