ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wana Arusha wanasema mama mi 5 tena Ili kazi Iendelee π π
View: https://www.instagram.com/p/DHBIr5bIUEA/?igsh=cmZjaHJuZTB3NzMz[/QUO
PSSSF kama mnaanza Tena ujenzi wa majengo tunawaomba msitumie fedha za wastaafu chonde chonde!!
Siku Bashite akiacha maigizo ya nyama akatambua wajibu wake maana hatakumbukwa Kwa maigizo na migogoro na Mbunge.Sawa,na stendi kubwa ya mabus arusha ujenzi utaanza lini
Ova
Mji ule waondoe vidaladala vile vidogo havina hadhi kuwa mjini wanashindwa na mkoa kama morogoro sijaona daladala ndogo..Wana Arusha wanasema mama mi 5 tena Ili kazi Iendelee π π
View: https://www.instagram.com/p/DHBIr5bIUEA/?igsh=cmZjaHJuZTB3NzMz
Wafanyabiashara wao wameona ndio biashara inayolipa kuliko kuwa na minbus au basi kubwa.Mji ule waondoe vidaladala vile vidogo havina hadhi kuwa mjini wanashindwa na mkoa kama morogoro sijaona daladala ndogo..
Kwani Kuna tatizo hela ikikopwa?Kama kawaida yenu kujigamba wanaccm.Kesho utasifikia hizo pesa tumekopa Ethiopia sababu ni karibu
Bahati mbaya sana ni wachache wanaliona hili!Siku Bashite akiacha maigizo ya nyama akatambua wajibu wake maana hatakumbukwa Kwa maigizo na migogoro na Mbunge.