SUALA la kulipwa watumishi wa umma waliotumbuliwa vyeti feki kiasi cha shilingi Bilioni 47 linaonekana kuwa na kizungumkuti wa kisheria ndio maana hadi sasa hakuna Waziri Jenista Mhagama anawalalamikia maafisa utumishi kwamba wamekaidi agizo la Rais.
Nilikuwa nashauri hizo bilioni 47 zitumika kuwaongezea mishahara wale watumishi wa umma waliostaafu walioilitumikia Taifa kwa uzalendo na uadilifu mkubwa ambao wengi wao wako na hali ngumu sana kimaisha.
Pili zitumike kuwalipa stahiki zao za halali watumishi wa uuma walioko kazini wenye madai halali ya malimbikizo ya mishahara, nauli na posho za likizo ili tutengeneze morali kwa watumishi wa umma.