Bilioni 550 kuboresha miundombinu Kigoma

Bilioni 550 kuboresha miundombinu Kigoma

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Kigoma ni kati ya mikoa iliyokua inasifika kwa ubovu wa barabara na hakukua na maendeleo yeyote ni kama ulisahaulika lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kupeleka miradi mingi iliyoibua fursa mbalimbali kwa wakazi wa kigoma.

Sasa Rais Samia Suluhu anampango wa kuufanya mkoa wa Kigoma kuwa mkoa wa kibiashara na usafirishaji Ameidhinisha zaidi ya Shilingi bilioni 550 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Ujenzi wa barabara mkoani kigoma kwa kiwango cha lami Fedha hizo Zitajenga zaidi ya KM 420 na mpaka sasa 100Km kati ya 420 zimeshakamilishwa kwa kiwango cha Lami.

Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha miundombinu nchi nzima ili kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji

nyakanzi kin.jpg


2-40-1024x683 (6).jpg
 
Kirume ng'enda anasemaje huko?? Nilikuwepo ujiji siku watu wa TISS wanafanya ule uharamia 2020
 
Back
Top Bottom