Bilioni 550 ndiyo msaada wa EU kwenye bajeti ya Tanzania kwa mwaka!

GDP ya Tanzania sio Tril1.3

#YNWA
 
Sio EU, sema wahuni watano tu was kamati! Tena tunajua ni wanahisa muhimu wa chandimu!
 
Kinachowaleta Tanzania ni nini? Wanatupenda sana? 😅😅😅😅😅, ndio shida ya kunyofoa akili na kuja za funza kichwani 😅😅😅😅
 
Tanzania ni nchi tajiri kwa maneno lakini kwa uhalisia hata kichokonolea meno tunaagiza toka China, tukipigwa vikwazo kidogo tu ni lazima tutafutane kwa kurunzi

Yangu macho na masikio ya awamu hii yanakwenda kujirudia ya matunda ya ujaa wa Nyerere
Umefuraaaaaaaaaaahi mwenyewe, kwani wewe hautakuwa mmoja wa wanaotafutana kwa kurunzi 😂😂😂😂😂😂, uchawi bhanaa
 
😂😂😂😂😂, aliyetoa pesa za Corona alishikiwa bastola? Uchaguzi ni wetu, wao wanateseka nini? Au kisa kibaraka wao kakosa? 🤣🤣🤣🤣
 
Kinachowaleta Tanzania ni nini? Wanatupenda sana? 😅😅😅😅😅, ndio shida ya kunyofoa akili na kuja za funza kichwani 😅😅😅😅
Kwa kuwa huna uwezo wa kujitoshereza mahitaji yako, kama tu panadol ni shida, je utaweza kugharamia. ARV's kwa wananchi wako hata kwa mwezi mmoja???
 
Hiyo pesa ndogo sana,,wafanyakazi tu wakichanga laki moja moja kila mwezi,inafika bila shida
 
Kwa kuwa huna uwezo wa kujitoshereza mahitaji yako, kama tu panadol ni shida, je utaweza kugharamia. ARV's kwa wananchi wako hata kwa mwezi mmoja???
Kinachowaleta hapa kwetu ni nini? Wanatupenda sana? Kwanini wasipeleke hio misaada Somalia? Umewahi kujiuliza 😂😂😂😂🤣
 
The US Problem is not Tanzania Election Results but Termination of Symbion Power Project.

The CCN on October 30, 2020 published an article titled as, US cites credible allegations of fraud in Tanzania election.

The article alleged that there were serious doubts about the credibility of Tanzania’s presidential election while the leading opposition candidate urged countries not to recognize the results.

The article cited the US embassy in Tanzania saying that there had been credible allegations of significant election –related fraud and intimidation when voters were electing a president and lawmakers.

The statement from the US embassy in Tanzania should be taken as hypocrisy as voters elected the president and lawmakers peacefully. The same embassy itself released the statement on October 29th saying that the vote was peaceful and orderly in Tanzania mainland and Zanzibar.

Nevertheless, the question should be is the US really concerned about Tanzanian election results or it is using it as the pretext of hiding her interest in Tanzania.

The answer is obvious NO. The US is using the Tanzania election results to hide their interests in Tanzania.

The US still concerned with the fate of its dubious Symbion Power project that Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) terminated its contract in 2016 after discovering that the company was siphoning taxpayers’ money by charging billions of shillings a day while making a loss to TANESCO and disrupting power availability in the country.

After the contract was terminated, the US Symbion Power Tanzania Ltd on 13 March 2017 filed a request for arbitration at the International Chamber of Commerce (ICC) in Paris claiming breach of contract due to non-payment by Tanzania Electricity Supply Corporation (TANESCO) for power from the 126MW Ubungo plant (AE 331/1).

Symbion claimed that TANESCO had refused to pay for its power since the contract was agreed, claiming variously that the power purchase agreement (PPA) had been “put on hold”, never been signed or, later, that it had been rescinded.

In early 2011, Symbion had acquired a 120MW natural gas-fired power plant in Ubungo, Dar es Salaam.

Symbion also constructed two emergency power plants at Dodoma (55MW) and Arusha (50MW) to deliver power to the national grid during several years of drought when shortage of water in key dams and waterways depleted the hydroelectric resources available in the country.

The contract was for 15 years.
It was officially launched in 2013 by then the US President Barack Obama when the visited Tanzania under the name “the US Government’s Power Africa Initiative.

So, one can easily see why the US is not happy with the fifth government’s decision to terminate the symbion power project which was launched by the US President.

The four-year dispute with Symbion Power, an American power producer that develops and operates projects in several African countries is central cause for the anger.

Due to this, last month the US congress about the political and economic developments in Tanzania passed the resolution.

The House resolution 1120 Cites reports of corruption and harassment of U.S. companies operating in Tanzania
Several commercial disputes exist between US and Tanzania.

The four-year dispute with Symbion Power, an American power producer that develops and operates projects in several African countries is central among them.

The dispute is about the breach of a 15-year power purchasing agreement for the Ubungo power plant. The company alleged that the Tanzanian annulled the contract without giving neither cause nor compensation despite the efforts by the company to seek a mutually agreed to solution.

In the submission to the Office of the United States Trade Representative, Symbion questioned the eligibility of Tanzania to export duty-free apparel to the U.S under the African Growth and Opportunity Act (Agoa). As an AGOA beneficiary, Tanzania exported apparels worth $40 million to the U.S, supporting thousands of Tanzanian jobs.

The resolution by the Congress pointed out that Tanzania has adopted and enforced repressive laws limiting freedom of the press, and expression, assembly, and association.

The US House of Representatives voted for H. RES. 1120, a leading Democrat Rep. Karen Bass (D-CA) and Rep. Chris Smith (R-NJ) sponsored it. The passing of the resolution will empower the Trump administration to take the necessary legal justifications to impose economic and other punitive sanctions on Tanzania. Sanctions could affect several economic activities particularly major mining firms with operations in Tanzania.
 
Uhakimu umesomea wapi ndugu yangu!? Yaani nilete pesa kwako kwakuwa nakupenda sana niache kuipeleka inakozalisha!? Hiyo logic unaitoa wapi!?

Nchi zinakomaa kuvutia uwekezaji maana hiyo ndio capitalism yenyewe.. nakuwekea mazingira mazuri ya wewe kufanya biashara, unaleta mitaji mimi napata àjira kwa watu wangu na kodi..

Moja wapo ya hizi FDI ni symbion power plant Ubungo.. sasa kama hii ni hisani mbona inawatia kelele nyiiiiingi wamarekani.. yaani unanifanyia hisani na mimi sitaki unamind!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Something isn't right...
Na nikuondoe shaka to every day time will come night time. Shida ni kuwa lazima watu wanaopinga kwa ajili ya kupinga tuu wawepo. Its history... Na sadly we can't reinvent the wheel of time.

Goodluck staying blind.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nani hataki wawekezaji, Tanzania? Hivi ukiwa ccm ni lazima brain yako iwe emptied? Hujui kua wawekezaji wanabembelezwa kuja na lazima kuwe na mahusiano mazuri ndio waje? Nimekupa mfano Rais wa China alizunguka Ulaya mwaka jana kubembeleza wawekezaji, hakuna asietaka wawekezaji ni serikali ya wanyonge tu ndio labda haitaki wawekezaji iendelee kuzalisha wanyonge kama wewe kwa miaka na miaka.

Ni watu wenye akili ndogo kama wewe kuamini maneno ya rais wako wa wanyonge ama kabudi eti marekani analia lia, marekani alilie nchi masikini zaidi Duniani?
 
Ngoja nikusaidie you wasting my great time now... Makusanyo hayana uhusiano wowote na Uwekezaji... Nothing.

Uwekezaji ni opportunity.. na FDI in Afrika Mostly ni towards raw materials.. Mining Sana Sana.. manufacturing hakuna..

Au shady power deals kama za symbion.. ambazo naona ndio unazitetea.. uibiwe for the name of pleasing Europeans!?

One thing you do not know ..at least with china they move manufacturing to your country kuna transfer of tech.. huko migodini umekaa!? Ushasikia Mswahili anaendesha Mgodi!? Grow up!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mahala nimezungumzia makusanyo na uwekezaji, unajua kusoma vizuri kweli?

Kuna sehemu nimetetea Symbion? Unaweza kunionyesha?

China ana move manufacturing Tanzania? Unaweza kunipa mfano wa any manufacturing industry yoyote ya China Tanzania?

Naona I am just waiting my precious time kujadiliana na a little learner, brainwashed, jackass SOB.

Rudi shule uongeze maarifa.
 
Kwa hiyo ulitaka mfanye vurugu kwenye uchaguzi muachwe tu, nakwambia haitatokea never ever, ukileta Fuji ni mkong'oto tu kwa kwenda mbele, ala.
 
FDI sio grant, ni investment.
If they don't invest, they too have a problem of RoI.
Kwa hiyo wanawekeza kwenye nini? Au ni jina mbadala la mkopo na roi yao ni riba itakaporudishwa na mkopo?
 
"Delusion of Grandeur"

Kwahiyo wewe Hakimu (flame thrower) a great learned man of our time... Ukisikia FDI unahisi wanaokuja na EU Wanakaa mezani kuinvest!? Seriously!?

Wao wanakuja kuyatafutia fursa na kuyasaidia makampuni sio nchi.. makampuni kama yanafanya faida huwezi kusikia kelele... Kinachowapigisha kelele kitajulikana... Na I will love to hear your opinion when it does... Maana certainly it's not kuumwa na haki yako au utawala wa kidemokrasia...



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…