Bilioni 550 ndiyo msaada wa EU kwenye bajeti ya Tanzania kwa mwaka!

Hizo figure za kutengeneza tunazipiga chini mwaka huu.Msaada wa pedi,condom na sindano za uzazi
 
Usia
Fafanua kidogo...USD 58 B ni sawa na Sh 1.3T..?
Usiamini kila unachokisoma mtandaoni. Wanasema za kuambiwa changanya na za kwako labda alitakakusema $ 58b ni ni sawa tsh130t.
 
US ni US1.5BIL

Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T

sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo mnaingiza arrogance politics

Tuna bahati mbaya sana, Tanzania will go no where without DONORS

View attachment 1632218
Sijajua nini hasa lengo la uzi wako maana kichwa cha habari ni msaada lakini ndani unazungumzia uwekezaji. Tuanze na hili la uwekezaji, uwekezaji sio msaada walio wekeza hapa Tanzania nifaida wanataka., tena wawekezaji wengine ni wanyonyaji wazuri ona sekta kama ya madini wanachukua kingi sisi tunapata kidogo. Pili uwo msaada wa b mia tano tukiwa na waziri mzuri wa mambo ya nje, tukiwekeza vizuri kwenye sekita ya utalii, tunaweza kuvuna mara kumi au kumi na tano ya hizo pesa tunazopewa kama msaada.
 
Kuelekea uchumi wa Zimbabwe, huwezi kuona hapo Lumumba wewe si una uhakika wa BUKU SABA daily?
Hivi buku 7 haijaongezeka tu na huu uchumi wa kati
 
Tanzania ni nchi tajiri kwa maneno lakini kwa uhalisia hata kichokonolea meno tunaagiza toka China, tukipigwa vikwazo kidogo tu ni lazima tutafutane kwa kurunzi

Yangu macho na masikio ya awamu hii yanakwenda kujirudia ya matunda ya ujaa wa Nyerere
Hakika mkuu,umenena.
 
Wenye akili tu ndo tumekuelewa.Wale wajinga a.k.a matutusa watakuja kukubeza.
 
Naunga mkono hoja
 
Hiyo misahada kwani ilikuja bila kuombwa? Una akili za kitoto
Kwani Somalia kinachowashinda kuomba ni nini kwa mfano? We unaamini Somalia huwa hawaombi misaada ya kimataifa? Unafikiri hawaombi??!!! Sasa kwanini wanafanya ubaguzi wa kutupa sisi mapesa yooote hayo halafu Somalia wanaachw? Umewahi kufikiria hilo? Au ndio tuseme kichwa chako hakina kabisa uwezo wa kutafakari jambo obvious kama hilo? Tell me!
 
nyinyi wapuuzi sikilizeni.

kama mnadhani hawa jamaa wanaleta misaada kwa huruma basi elimu zenu ni hizi za mpango wa ccm.

hawa jamaa wanafanya biashara,kwahiyo msitegemee wasitishe biashara sehemu wanayokula,jiwe,na kabudi wanajua kinachowapa jeuri mpaka kuwajibu hivyo.

subirini kama kuna chochote kitatokea.
 
Nyuma ya Pazia hawa watu wanaomba msamaha huko...

Acha kuamini kelele zao

hizi ndio kauli zenu kwa ajiri ya backups.
hakuna mtu anayeomba msamaha.unadhani kabuni alikuwa ajibu vile kuwaudhi mabosi ili amkomoe nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…