Bilioni 7.4 za Laizer: Ingekuwa wewe ndio umezipata ungefanyia nini?

Ngoke

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2020
Posts
285
Reaction score
504
JamiiForums1021509634.jpg

Je, ungepata pesa kama hizi za Laizer ungezifanyia nini?
 
Najenga li kitua kuubwa sana word class la utafiti.

Litatumia hela nyingi kinyama, lakini litatusaidia kuchunguza vitu na kupata ukweli wake. Mfano madawa, sayansi, dhana, uchawi, filosofia etc.

Bonge la research and analytical lab. Na li cyberlab dadeki. Full ma AI humo.

Utasikia tu kwenye taarifa ya habari "Wataalamu kutoka taasisi ya xxx xxx wamegundua kuwa panzi anayeweza kutumika kubeba parcel ndogondogo (cheni, pete) na kudeliver kwa umpendaye valentine hii"

Wabongo mawazo ya kimaskini sana ndo maana mtu hawezi kufathom the idea ya KUWA TAJIRI, BEING RICH. So hata ukiambiwa uwaze kama mwenye hela unabaki kuwaza kimaskini, kwa maana ya uhitaji.
 
Nawekeza katika startups zenye tija na kununua hisa katika hizo startups. In few years nikija kuuza shares nimepata quantum leap of wealth na nitakuwa nimeleta impact katika jamii with less effort.
 
Financial Freedom campaign Life is Simple As A,B,C
Ningejikita katika kutoa elimu Ili kuu kimbiza umaskini..

Agricultural Trading
Businesses Trading

Ningejikita kuwafundisha vijana Kwa vitendo mambo mbali mbali ambayo yangewafanya wawe na Financial Freedom....

Ningeanzisha FINANCIAL FREEDOM CAMPAIGN...
ningeweka fund maalum na kuajil wataalam kusaidia vijana kwenye kuwawezesha ku acquire ENTREPRENEUR skills kwenye kilimo,ufugaji na biashara hence watakua na Financial Freedom....
 
Najenga li kitua kuubwa sana word class la utafiti.

Litatumia hela nyingi kinyama, lakini litatusaidia kuchunguza vitu na kupata ukweli wake. Mfano madawa, sayansi, dhana, uchawi, filosofia etc.

Bonge la research and analytical lab. Na li cyberlab dadeki. Full ma AI humo.

Utasikia tu kwenye taarifa ya habari "Wataalamu kutoka taasisi ya xxx xxx wamegundua kuwa panzi anayeweza kutumika kubeba parcel ndogondogo (cheni, pete) na kudeliver kwa umpendaye valentine hii"

Wabongo mawazo ya kimaskini sana ndo maana mtu hawezi kufathom the idea ya KUWA TAJIRI, BEING RICH. So hata ukiambiwa uwaze kama mwenye hela unabaki kuwaza kimaskini, kwa maana ya uhitaji.
Tofauti na betting ni nini
 
Back
Top Bottom