Najenga li kitua kuubwa sana word class la utafiti.
Litatumia hela nyingi kinyama, lakini litatusaidia kuchunguza vitu na kupata ukweli wake. Mfano madawa, sayansi, dhana, uchawi, filosofia etc.
Bonge la research and analytical lab. Na li cyberlab dadeki. Full ma AI humo.
Utasikia tu kwenye taarifa ya habari "Wataalamu kutoka taasisi ya xxx xxx wamegundua kuwa panzi anayeweza kutumika kubeba parcel ndogondogo (cheni, pete) na kudeliver kwa umpendaye valentine hii"
Wabongo mawazo ya kimaskini sana ndo maana mtu hawezi kufathom the idea ya KUWA TAJIRI, BEING RICH. So hata ukiambiwa uwaze kama mwenye hela unabaki kuwaza kimaskini, kwa maana ya uhitaji.