chambimagaka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 288
- 338
Tuanze na BILIONI 1.
Naona watu wanaitajataja sana bila ufafanuzi wa kueleweka. . . Kuna wanaoifananisha na mikopo Ya elimu Ya Juu, wengine darasa katika shule. . . Nk. . .
Ngoja Mimi niiseme kwa ulaini kabisa. . .
Bilioni moja ni sawa na milioni elfu moja. . . Yaani watu wakipanga foleni, na KUANZA hesabu namba kuanzia moja hadi elfu, WOTE wanaweza kugawiwa milioni moja " keshi " . . . .
Ngoja kwanza. . . . Watu elfu moja unaelewa ni kama kiasi gani hivi ?
Hebu funga macho kumbuka darasani uliposoma shule Ya msingi mlikuwa wangapi, au shule yenu ilikuwa na wanafunzi wangapi. . . Kama hawakuwa elfu, mfano shuke nlosoma mie walikuwa wanafunzi mia nne, Sasa hapo nikisema. Mara Mbili wanafika mia nane. . . Halafu nikiongeza kanusu hapo wanafika elfu. . .
Sasa tuachane na Hawa wanaopanga mstari kiholela. . . .
Tuseme Hivi, uchukue vijana elfu moja wamachinga, uwape kila mmoja fedha taslimu shilingi milioni 1 waongezee mtaji, ama mama ntilie 1000 uwape milioni kila mmoja waboreshe biashara zao. . . Au uwatafute "shuu shaini" elfu uwape milioni kila mmoja waviweke smati vibanda vyao. . .
Au uingie sokoni manzese, ugawe milioni moja kwa kila mfanyabiashara atakayeweza kuimba beti Mbili Za wimbo wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo WOTE [emoji16] hadi wafike elfu moja. . . Waambie waboreshe biashara zao. . . Ama ukapita salon Za kike na Za kiume ukagawa mil moja Za kuwawezesha kuimarisha biashara zao. . .
Labda tuachane na Hao. . .
Ukaamua upite maduka Ya madawa elfu moja. . . Uwakabidhi. . . Mtaji huo. . . . Ama pale feri ukawakabidhi wachuuzi 1000, milioni kila mmoja, waboresha biashara zao. .
[HASHTAG]#Hebu[/HASHTAG] ongezea, watu elfu moja wanaweza kupewa milioni kila mmoja wafanyie nini cha maendeleo?
[HASHTAG]#hapo[/HASHTAG] ulipo va vyuma vilivyo na kutu, ukipewa milioni utaifanyia nini. . . Kama ni Mfugaji Utanunua mifuko mingapi Ya Chakula cha mifugo ? Kama Wewe ni mkulima, mbegu na. Mbolea ni vipi hapo ? Kama ni seremala, vipi mashine Ya kugonga misumari ?
[HASHTAG]#nimeamua[/HASHTAG] kuielezea bilioni kwenye maisha Ya kawaida Ya watu wengi. . . Ukiielezea kwenye ujenzi wa darasa, wanaweza wasielewe hasa wale ambao hawajawahi kujenga. . . Ama kuielezea kama mkopo kwa elimu Ya juu, Kuna watu hawaelewa, watasema hawajawahi kwenda chuo kikuu. . .
[HASHTAG]#tunabana[/HASHTAG] matumizi
[HASHTAG]#uchumI[/HASHTAG] wa viwanda
[HASHTAG]#tunapambana[/HASHTAG] na matumizi mabaya Ya fedha
[HASHTAG]#viwanda[/HASHTAG] kila mtaa
[HASHTAG]#tunawatumikia[/HASHTAG] wanyonge
[HASHTAG]#tunasema[/HASHTAG] ukweli Na tunamwogopa Mungu
[emoji767] BIBI HAPPY J