Bilioni moja za Mheahimiwa VS Serengeti Boys.

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,012
Kweli cha mtu huliwa na watu.
Ndo tuseme Bilioni moja alizotoa mheshimiwa raisi kwa timu ya vijana ya Serengeti Boys ndio zimeondoka kwa aibu ya kipigo kile?
Pamoja na kuwa mwenyeji wa mashindano bado timu imeshindwa hata kuondoka na point moja mpaka inayaaga mashindano?
Naamini hapa kuna watu inabidi wawajibishwe,na pesa warudishe.
Ni aibu mpaka sasa wahusika kukaa kimya kana kwamba hakuna lililotokea!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…