jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Swali gumu hili,labda CAG anajibu mkuu.Kwani hizo pesa alizipata wapi labda kwa mfano??
Billion 1 ya hawa madogo na ile Milioni 50 ya wakubwa wao. Hizi pesa zimeniuma sana bora tungenunua dawa ya mbu kupambana na Malaria kuliko kufedheheshwa kiasi hiki.