Bilioni Tatu Zakamilisha Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Utawala Morogoro DC

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

BILIONI TATU (3) ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MOROGORO DC

Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ina jumla ya Tarafa 6, Kata 31, Vijiji 149 na Vitongoji 733 pamoja na Watumishi wa Serikali 2776.

Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ilihamishwa kutoka Makao Makuu yaliyokuwepo Morogoro Mjini na kuhamishiwa Kata ya Mvuha KM 78 kutoka Morogoro Mjini ambapo jumla ya TZS 3,000,000,000.00 zilitengwa na Serikali kuu kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa Jengo jipya la Utawala na sasa mradi umekamilika kwa 90% na kazi zilizobakia ni za nje.

Uongozi wa Halmashauri pamoja na wananchi wote tunamshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha utawala bora ambao kwa sasa unapelekea utoaji wa huduma kwa wananchi kwa ukaribu zaidi, usimamiaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na ngazi za chini kwa ukaribu pamoja na kuchochea ukuaji wa haraka kiuchumi kwa wananchi wa Morogoro Vijijini.
 
Attachments

  • Screenshot 2024-07-31 at 15-31-40 Instagram.png
    Screenshot 2024-07-31 at 15-31-40 Instagram.png
    741.2 KB · Views: 12
  • Screenshot 2024-07-31 at 15-31-46 Instagram.png
    Screenshot 2024-07-31 at 15-31-46 Instagram.png
    526.1 KB · Views: 11
  • Screenshot 2024-07-31 at 15-31-52 Instagram.png
    Screenshot 2024-07-31 at 15-31-52 Instagram.png
    757.2 KB · Views: 12

BILIONI TATU (3) ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MOROGORO DC

Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ina jumla ya Tarafa 6, Kata 31, Vijiji 149 na Vitongoji 733 pamoja na Watumishi wa Serikali 2776.

Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ilihamishwa kutoka Makao Makuu yaliyokuwepo Morogoro Mjini na kuhamishiwa Kata ya Mvuha KM 78 kutoka Morogoro Mjini ambapo jumla ya TZS 3,000,000,000.00 zilitengwa na Serikali kuu kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa Jengo jipya la Utawala na sasa mradi umekamilika kwa 90% na kazi zilizobakia ni za nje.

Uongozi wa Halmashauri pamoja na wananchi wote tunamshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha utawala bora ambao kwa sasa unapelekea utoaji wa huduma kwa wananchi kwa ukaribu zaidi, usimamiaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na ngazi za chini kwa ukaribu pamoja na kuchochea ukuaji wa haraka kiuchumi kwa wananchi wa Morogoro Vijijini.
🐓🐓🐓🐓
Magorofa 68724 kubomolewa Tanzania ili kujenga Nyumba za Tembe💣 na Nyasi💣.Sababu ya wamiliki kushindwa Vita ya Vitakiwavyo🔦(Gorofa Vs Nyumba za Tembe🔬) kwa mujibu wa Makubaliano ya mwaka 1961

Jihadhari na Usafirishaji Haramu wa Binadamu. Watu wanatumikishwa, wanateswa, wanatolewa figo na kuuwawa. Tushirikiane kupiga vita uhalifu huu.

Zingatia

$100,000,000,000,000,000 Project 2024📷📹📹📹📹📹

View: https://youtu.be/CHOcqFgOZVk?si=yRn1ims7rknmQmny
 
Back
Top Bottom