Bill Gates anatumia Android kama kawaida

Bill Gates anatumia Android kama kawaida

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,272
Wewe fukara tu unaona kutumia Iphone unaona kama ulimwengu wote wewe ndio boss
IMG_20190101_223101.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiulize maswali haya

1. Amekwambia ana simu moja tu ya android? Je kama anazo both iphone and android?
2. Je unajua ni android gani anayotumia na ya sh ngapi (lets say samsung s9 au note 9 ambayo bei yake haina tofauti na high end Iphones)
3. Si kila tajiri ni fan wa iphones wapo wengi wanapenda android.

Lastly, tuache mawazo ya kimasikini
 
d3a45f1717310dac6c362800dc7942c7.jpg


Kitu kingine ni kwamba anatumia android ili iwe rahisi kufanya tweaks za kuweka mambo yake na microsoft apps etc kitu ambacho kwa iphone hauwez kufanya tweaks hizo
 
Android ina uhuru mkubwa kuliko kwenda kujifungia jela ya iPhone
 
Just live your life, vitu tunanunua kutokana na utashi na uwezo wa kifedha, the rest ni ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom