1. Amekwambia ana simu moja tu ya android? Je kama anazo both iphone and android?
2. Je unajua ni android gani anayotumia na ya sh ngapi (lets say samsung s9 au note 9 ambayo bei yake haina tofauti na high end Iphones)
3. Si kila tajiri ni fan wa iphones wapo wengi wanapenda android.
Kitu kingine ni kwamba anatumia android ili iwe rahisi kufanya tweaks za kuweka mambo yake na microsoft apps etc kitu ambacho kwa iphone hauwez kufanya tweaks hizo