Bill Gates mapumzikoni Pemba!

kisiwa cha mnemba kimekodishwa kwa miaka 99 kwa wataliano ( so the local ppl says)
kisiwa hiko hakiko pemba...kiko nje ya unguja ( labda bill gates kapata kisiwa chengine cha kwenda) ....ila kina uwanja wa ndege wake wenyewe, na watalii wa kawaida hawaruhusiwi kwenda ila walioteuliwa maalum kwa kupitia italia.

watu wa local walikipigia kelele sana hicho .......lakini ccm ikaamua kaa kawaida yake kupuuza maneno ya raia
 

Umeanza eeh....
 
Mnemba Island Lodge

Hicho ndio kisiwa alichofikia Bill Gates na kinamilikiwa na Waitaliano tena nasikia wamekinunua kabisa na mkubwa mmoja. Room kurent ni around $1500 per night. Na huko washaenda macelebrity kibao kama Will Smith, Denzel Washington, Angelina Jolie na Brad Pitt na wengineo wengi.
 
Huyo bwana anamambo megi kweli Fedha inamambo kafanya yote sasa ka amua kupunzika pemba
 

Ndio lakini hili lina National Interest

the last thing we want ni kuinvite flies yaani kwenye hili inabidi tuwe na unspoken code

Naona hadi national interest inaongelewa kwenye hii topic. Jamani, tufafanulieni, national interest na Gates vinaendaje? Inaonekana ni phrase inayopenda kutupwa tupwa.

Ivi mbona sijapata kijarida changu wiki hii? namna gani tena, au ni fortnightly?
 


Ndio huku wakuu?
Kweli na mimi wacha nitijahidi nifike...honeymoooooon 2012 hiyo!
 
Ile historia inayosema yule mtemi wa msovero hatumtendei haki kuendelea kuwepo kwa hiyo historia eti alilaghaiwa na kuingia mikataba ya kilaghai.

Hiyo historia inapaswa kufutwa kabisa .
 
Tz ni kama bustani ya Edeni kila mtu anaizimia
 
zoezi la ufukuaji makaburi linaendelea tunaomba ushirikiano
wenu wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…