Bill Gates: Tukiepuka vita ya Dunia basi lazima tuangukie kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo

Bill Gates: Tukiepuka vita ya Dunia basi lazima tuangukie kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Bill Gates anasema iwapo Dunia itakwepa kuingia kwenye vita ya Dunia basi itaangukia kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo.

Gates anasema hivyo ni vitu visivyokwepeka, unkwepekable things, either world war ama pandemic.

Gates anasisitiza kwamba hivyo vitu ndio vinampa mawazo sana halali usiku

Hebu soma mwenyewe.

==========

Billionaire philanthropist Bill Gates has spent the past couple decades warning the general public about ominous issues, from upcoming “climate disasters” to devastating cyberattacks.

Two potential catastrophes evoke the most concern from Gates. “A lot of unrest” in today’s world could spark “a major war,” he tells CNBC Make It. And even “if we avoid a big war ... then, yes, there will be another pandemic, most likely in the next 25 years.”

Scientists typically view pandemics as likely, even inevitable, occurrences over time. They are indeed becoming more common, due to factors like climate change and population growth, research shows.

For Gates and other global health advocates, the question isn’t whether another pandemic will occur soon — it’s whether nations will be more prepared than they were for the outbreak of Covid-19. “The country that the world expected to lead and be the model fell short of those expectations,” Gates says, referring to the United States.

Gates wrote a book called “How to Prevent the Next Pandemic” in 2022, in which he called out various governments, including the U.S., for not being adequately prepared in 2020. In the book, he laid out several recommendations for countries worldwide, including stronger quarantining policies, investing in disease monitoring and boosting vaccine research and development.

While some progress has been made, with increased spending on pandemic preparedness in the U.S. and elsewhere, Gates says the global response hasn’t yet been enough. “Although some of the lessons from [the coronavirus] pandemic have been learned, [it’s been] way less than I would expect, sadly,” he says.

The political divisions many believe hampered the world’s response to Covid-19 are still standing in the way of preparing appropriately for the next outbreak, Gates adds: “Getting our thoughts together about what [we did] well, what we didn’t do well, is still not happening .... Perhaps, in the next five years, that’ll get better. But, so far, it’s quite surprising.”

Preventing widespread disease is the focus of an episode in the upcoming Netflix docuseries “What’s Next? The Future with Bill Gates,” set to premiere September 18.

In an advance screening of the Netflix series provided to Make It, Gates sits down with Dr. Anthony Fauci, the former director of the National Institute of Allergy and Infectious Diseases. In that conversation, Fauci is adamant that the wealthiest nations, like the U.S., have a “moral responsibility” to share their abundant resources to lead the way on preventing the spread of disease around the world.

Fauci published a memoir this summer called “On Call,” in which he expressed his concerns over how the world is facing a “crisis of truth” over rampant misinformation, such as the kind that shook the public’s faith in public health initiatives.

The scientist struck a more optimistic tone in a July interview with People, in which he said he believes that public trust of scientific facts will eventually be restored.

“I still feel as somewhat of a cautious optimist that there are the better angels in everybody that will come out,” Fauci said.

Source: CNBC
 
Mm ndo nilikua mjamzito wkt nimejifungua ndo umepamba moto yani ulinipa stress naleaje mtoto kwny hayo mazingira aloo..ila Mungu mwema hakuna baya lilitokea..mtt hata mafua hakuumwa kwa mwaka mzima..
Huu ujinga wa corona sikuwahi kuuendekeza japo nilikua abroad.
 
Tajiri kasema ,no comment.
Yanga bingwa.

Huyu jamaa naona ni zaidi ya Tajiri. Kuna kitu hatukifahamu vizuri kuhusu huyu jamaa.

Kwanza inaoneka suala hali yake na uwepo wake hiyo miaka 25 ijayo sio la kujadili, halimpi shida hata kidogo.

Nilikua nafuatilia sana maneno yake wakati wa mapambano wa COVID 19, nikajiridhisha Ile project ni kama Kuna mahesabu yakienda kombo mahali. Wataalam watakua wameenda kujifua waje na sehem ya pili.
 
Yaani kinachomsumbua na kumnyima usingizi, ni atafanyafanyaje hivyo vitu vitokee?

Utulivu wake unakuja hasa hasa vikitokea vyote ama la kitokee kimojawapo kati ya vita au janga la magonjwa ya mlipuko.

Rejea alivyokua anatamalaki wakati wa Uviko 19

Mzee Magoma badala ya kuwasomea hawa kurujuni, anahangaika mahamakani na kesi ambayo hatakaa kuja kushinda
 
Bado kuna watu wanapinga hizi sceneries wanaposoma au kusikia mambo kama haya ya B.Gate.
 
Mm ndo nilikua mjamzito wkt nimejifungua ndo umepamba moto yani ulinipa stress naleaje mtoto kwny hayo mazingira aloo..ila Mungu mwema hakuna baya lilitokea..mtt hata mafua hakuumwa kwa mwaka mzima..
Kumbe we n mwanamke duh! ndiyo najua leo
 
Back
Top Bottom