Bill Gates: Tukiepuka vita ya Dunia basi lazima tuangukie kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo

Mm ndo nilikua mjamzito wkt nimejifungua ndo umepamba moto yani ulinipa stress naleaje mtoto kwny hayo mazingira aloo..ila Mungu mwema hakuna baya lilitokea..mtt hata mafua hakuumwa kwa mwaka mzima..
Ni kama mimi, ile 2020 mwezi wa tano corona imepamba moto sio mchezo, mtu anaenda kujifungua tena kwa operation pake Mwananyamala , wodi ya wagonjwa wa corona ile na wodi ya wazazi hii hapa!
Ilikua ni kipindi kigumu mno ila yule mzee apumzike kwema , alitupa ujasiri mno , kama sio Magufuli athari za corona zingekuwa kubwa sana hatra kama zi singekuwa moja kwa moja .
 
Tajiri yupo sahihi. Pandemic inayokuja itatufyeka sana. Covid 19 imeonyesha hatuwezi kuja pamoja kusolve tatizo.
 
Huyu mzee ndo mfadhili mkuu wa hilo dude, halafu hawa majinga walijua kabisa Afrika tutateketea km kuku wenye mdondo matokeo ikawa kinyume wakataketea wao sasa hasira zao itafanya walete kirusi Pro max
 
Acha tuu yani alitupa ujasiri wa ajabu sana...kupitia ujasiri ule athari hazikua kubwa
 
Huyu Bill Gates ni moja ya wale lizards anaowaongelea David Icke , lizards Wana run dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…