Bill Gates yupo Tanzania?

1975

Senior Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
131
Reaction score
18
Eti nasikia Bill gates yupo Arusha,ni kweli?.Mtu mumoja ananambia amefika jana na saizi yupo Ngurudoto Arusha.Kuna mtu mwenye ntunzi zaidi?
 
Na kama yupo? Andaa bakuli kabisa, naona utakuwa una undugu na Matonya wewe.
 
Ili iweje??????njaa zako haziwezi kuisha kwa kunuona bill gates,

fanya kazi....haikusaidii sana kama yuko arusha au zanzibar.
 
Eti nasikia Bill gates yupo Arusha,ni kweli?.Mtu mumoja ananambia amefika jana na saizi yupo Ngurudoto Arusha.Kuna mtu mwenye ntunzi zaidi?

kaja Kimya kimya hivyo? Ina maana hata JK asingempa company...!

Ngoja nikae standby kwenye milango ya kutokea, huenda nikabahatisha

kumwona mzee huyu wa mapesa!
 
kaja Kimya kimya hivyo? Ina maana hata JK asingempa company...!

Ngoja nikae standby kwenye milango ya kutokea, huenda nikabahatisha

kumwona mzee huyu wa mapesa!

na JK kweli hachelewi kukmpa kampuni huko mbugani utadhani anafanya PR kwa Tanzania Company LTD
 
Eti nasikia Bill gates yupo Arusha,ni kweli?.Mtu mumoja ananambia amefika jana na saizi yupo Ngurudoto Arusha.Kuna mtu mwenye ntunzi zaidi?

Labda kaja na helkopta au ungo maana watu wangeliona lile dege lake pale uwanja wa KIA na tungepata taarifa mapema
 
FYI it is not the first time kuja TZ..every year towards November huwa anakuja kwa mapumziko...hayupo Ngurdoto yuko Grumeti Lodge...
 
Niko nae hapa anashangaa ninavyotumia compyuter ya zamani.
Jambo Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…