Billinass atakua amepiga mkwara picha ya Alikiba na Nandy

Billinass atakua amepiga mkwara picha ya Alikiba na Nandy

Broadcast

Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
76
Reaction score
285
Japokua ile video imefikisha viewers milioni moja lkn ile picha yenye mfanano wa kimahaba kati ya Alikiba na Nandy imefutwa

Makachero wanadai nenga wivu ulizidi kiasi...hata kama ni mimi nisingekubali hali itokeee kwa mpenzi wangu hata kama ni biashara
FB_IMG_1707116684184.jpg
 
Wabongo bhna kazi umbea tu ....kwa akili zako zote unahisi wewe na nenga hizo picha mmeziona kwa wakati mmoja au aliziona kabla yako???
 
Unaweza kuta kaliwa sana na kiba kabla hata ya huyo nenga kufika mjini.
Mbususu za hawa ni za kuonea huruma zimetumika sana.
Tuziache japo zipoze rejeta🙌
 
Back
Top Bottom