Broadcast Member Joined Jun 19, 2022 Posts 76 Reaction score 285 Feb 5, 2024 #1 Japokua ile video imefikisha viewers milioni moja lkn ile picha yenye mfanano wa kimahaba kati ya Alikiba na Nandy imefutwa Makachero wanadai nenga wivu ulizidi kiasi...hata kama ni mimi nisingekubali hali itokeee kwa mpenzi wangu hata kama ni biashara
Japokua ile video imefikisha viewers milioni moja lkn ile picha yenye mfanano wa kimahaba kati ya Alikiba na Nandy imefutwa Makachero wanadai nenga wivu ulizidi kiasi...hata kama ni mimi nisingekubali hali itokeee kwa mpenzi wangu hata kama ni biashara
Umoja 1 Senior Member Joined Sep 26, 2018 Posts 111 Reaction score 284 Feb 5, 2024 #2 Wabongo bhna kazi umbea tu ....kwa akili zako zote unahisi wewe na nenga hizo picha mmeziona kwa wakati mmoja au aliziona kabla yako???
Wabongo bhna kazi umbea tu ....kwa akili zako zote unahisi wewe na nenga hizo picha mmeziona kwa wakati mmoja au aliziona kabla yako???
Broadcast Member Joined Jun 19, 2022 Posts 76 Reaction score 285 Feb 5, 2024 Thread starter #3 Umoja 1 said: Wabongo bhna kazi umbea tu ....kwa akili zako zote unahisi wewe na nenga hizo picha mmeziona kwa wakati mmoja au aliziona kabla yako??? Click to expand... Mbona zimefutwa sasa
Umoja 1 said: Wabongo bhna kazi umbea tu ....kwa akili zako zote unahisi wewe na nenga hizo picha mmeziona kwa wakati mmoja au aliziona kabla yako??? Click to expand... Mbona zimefutwa sasa
political monger senior JF-Expert Member Joined Nov 26, 2020 Posts 1,827 Reaction score 5,994 Feb 5, 2024 #4 Broadcast said: Mbona zimefutwa sasa Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16]
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Feb 6, 2024 #5 Ukiona manyoya.....
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Feb 6, 2024 #6 Unaweza kuta kaliwa sana na kiba kabla hata ya huyo nenga kufika mjini. Mbususu za hawa ni za kuonea huruma zimetumika sana. Tuziache japo zipoze rejeta🙌
Unaweza kuta kaliwa sana na kiba kabla hata ya huyo nenga kufika mjini. Mbususu za hawa ni za kuonea huruma zimetumika sana. Tuziache japo zipoze rejeta🙌
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 4,766 Reaction score 16,191 Feb 6, 2024 #7 Ndio akina nani hao?