Haya hayawezi kufanyika kwenye nchi isiyo na amani.
vp mmetuongezea siku za kukaa madarakani tena jana ulisema ndo mwishoWewe utakuwa unategemea kila kitu toka kwa Samia Suluhu Hassan. Siyo bure. Unahangaika sana kwenye hizi siku za hivi karibuni.
Ujumbe ni ule ule, mmeaua waTanzania, nyinyi hamna tena nafasi ya kuwatawala watu mnaowaua kama wanyama tu mnaowafuga.
Tatizo kubwa linalotukabili sasa hivi ni kuokoa uhai wetu; na siyo hizo hadaa na ulaghai wa vijihela mjinga namna hiyo.
Hamuwezi kamwe kununua utu wa mTanzania yeyote.
Mbali ya kuwa nguruwe tu unayefugwa na Samia Suluhu Hassan, sasa ni wazi pia kuwa ni nguruwe mwenye ugonjwa kichwani. Hata kuliwa kama kiti moto hafai.vp mmetuongezea siku za kukaa madarakani tena jana ulisema ndo mwisho
View: https://x.com/Labella_Mafia95/status/1998468567705047406?s=20