Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 335
Wana JF nimepita kwa Michuzi ni kakutana na hii habari, kinachoniuma ni Serikali kutumia pesa hizi na kusahau kuwa kuna kina mama wanajifungulia nyumbani kwa kukokosa hata usafiri wa baiskeli kuwawahisha kwenye kituo cha afya,kinachobaki ni serikali kutumia kiasi chote hiki kwa maandalizi haya, hapo hawajaongelea Gharama za kuigharamia timu ya Ivory Coast kwa juma zima,wakati timu yetu tulishindwa hata kufaulu kucheza African Cup of Nations. Je hizi Gharama zote ni za nini?
Mdau na member bofyeni hapa http://issamichuzi.blogspot.com/2009/12/tanzania-yajiandaa-vyema-na-kombe-la.html#comments
Kaka hii ndiyo awamu ya nne, ina vipaombele vyao na mojawapo ni kama hiki.
Hao wanaokufa kwa mafuriko, na kina mama vijijini wanajifungua wa matatizo ndiyo "maisha bora kwa kila mtanzania"
we ushashangaa mbona hizi chache tu?
Good move..u have to extend ua adverts more and more to the world....