Billionea Abramovich atangaza kuuza mali zake zote nchini Uingereza ikiwemo Chelsea FC. Mabilionea wa Tanzania changamkieni fursa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Billionea wa kirusi Abramovich ametangaza kuuza mali zake zite nchini Uingereza yakiwemo majengo na klabu ya Chelsea

=============================

Roman Abromovich leo ame confirm habari iliyokuwa imesembaa kwenye vyombo mbali mbali vya habari kwamba ameamua kuiuza Chelsea Football Club.

Abromovich amekuwa mmiliki kwa miaka 19. Kwenye statement iliyochapishwa kwenye Chelsea club website leo. Pia amesema pesa itakayo patika ataitoa kama msaada kusaidia waathirika wa vita Ukraine.
Vile vile amesema kwamba hataidai Club ya Chelsea mkopo aliwapa ambao ni dola bilioni 2!

Source: Statement from Roman Abramovich | Official Site | Chelsea Football Club
 
Ataziuza kwa Wayahudi wenzake. Wayahudi wanazungusha utajiri wao ndani ya kabila lao sana hawautoi nje. Hawachukiani kama Waafrika.
 
Naitaka hiyo timu ya chelsea hebu niulizie anauzaje unipe jibu,tena naihamishia bongo kudadeki
 
Mkuu, mtu akiitwa bilionea kwa uchumi wa tanzania…na mwingine jina hilo hilonkwa uchumi wa ulaya, hao ni watu waili tofauti sana
Bwashee ubilionea haupimwi kwa fedha ya madafu!
 
Huyo pale UK wamemsumbua sana na hata viza ya ukaazi wa kudumu wamemzingua.

Ndo maana akaenda zake Israeli na sasa ni raia wa hukona kawekeza hukohuko , hivyo kaona bora aachane na hiyo timu ambayo hata hivto anaidai kama 2bn hivi.

Akiuza (tayari amepata mteja) atarudisha pesa alowekeza na atapata faida pia.
 
Chezea Vikwazo Putin Bure kabisaaa ameshindwa kabisa kukomboa mali za rafikiye
 
Wote ni mabilionea in terms of usd hakuna cha zaidi hapo mkuu
[emoji871]Kwa hiyo thamani ya Simba Sports Club inayomilikiwa na Bilionea wa Tanzania[emoji1241],
Mo Dewji.

[emoji871]Ina thamani sawa na Chelsea Club [emoji170] ya Uingereza inayomilikiwa na Abramovich?

[emoji871]Ingekuwa ni hivyo.........duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…