Putin licha ya kuwa kilele cha uongozi wa Urusi kwa miaka ishirini hana tofauti na mwanafunzi mvivu wa kufikiri.Chezea Vikwazo Putin Bure kabisaaa ameshindwa kabisa kukomboa mali za rafikiye
Sehemu yeyote ambapo mmarekani ana maslahi napo huwa nakwenda kinyume nao! Urusi ni ndugu zetu kabisa, naunga mkono Ukraine apigwe tuRussia ni bure kabisa!
Urafiki wake na Putin umekuwa unamponza!Roman anadhulumiwa
Alinyimwa kibali cha kuishi EnglandUrafiki wake na Putin umekuwa unamponza!
UK miaka ya karibuni wamekuwa wanamwandama sana!
Inasemekana hata maudhurio yake Stamford bridge yame fifia sana!
Walimnyima pamoja uwekezaji kwenye mpira ulisaidia sana kuvutia wawekezaji wa nje!Alinyimwa kibali cha kuishi England
Kwani yeye ndie aliyeanzisha vitaUkraine kataeni hela za jamaa .akawape ndugu zake Russia .
Linafiki hilo .
Yani ww mbongo wa mchambawima ndio unaongea hovyo namna hiyo?Ukraine kataeni hela za jamaa .akawape ndugu zake Russia .
Linafiki hilo .
Kwani yeye ndie aliyeanz
Shida sio vita. Shida ni njia alizotumia kupata huo utajiri . blood money .Kwani yeye ndie aliyeanzisha vita
Yani ww mbongo wa mchambawima ndio unaongea hovyo namna hiyo?
Nimetokea kumchukia putin sana. Putini ni Raisi aliye na ubabe wa kizamani sana yaani wa kishamba. Sasa anaenda kuwapa raia wake wakati mgumu sana wa kuishi na jamii ya mataifa mengine pamoja na wananchi wake kuishi maisha ya shida kutokana na vikwazo.
Anza na Ujugu FC ya ndondo cup ina thamani ya milioni kumi tu mzeeNaitaka hiyo timu ya chelsea hebu niulizie anauzaje unipe jibu,tena naihamishia bongo kudadeki
.Ukraine sailor tries to sink his Russian boss's luxury yacht and has 'no regrets'
More: Defiant Ukraine sailor tries to sink his Russian boss's £5m luxury yacht
Abramovich accepts Ukraine's offer to mediate in conflict with Russia
More: Abramovich accepts Ukraine's offer to mediate in conflict with Russia