ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Don Bosco alikamatwa na kufungwa nchini Tanzania 2013
Bosco na rafikiye ambaye ni wakili walipatikana na kosa la kusambaza noti bandia
Akakubali makosa na kufungwa jela miaka mitano
Mwanabaishara tajika Don Bosco Gichana amejitokeza wazi na kumpongeza pakubwa Naibu Rais William Ruto kwa kusaidia katika kumtoa jela baada ya kifungo cha muda wa miaka mitano.Tanzania
Ingawa hakueleza kuhusu alichofanya Ruto katika kumtoa jela, bilionea huyo alibainisha kuwa Naibu Rais alimsadia na kuwa walikuwa wakizungumza muda wote alipokuwa jela.
Alimpongeza pakubwa Naibu Rais William Ruto kwa kumtoa jela.
Mwanabishara huyo mwenye umri wa miaka 41 amefanya mikutano kadhaa na viongozi wakuu serikalini akiwemo Naibu Rais William Ruto.
‘’ Asante sana kwa mchango wako katika kuachiliwa huru kwangu. Mungu akubariki William Ruto kwa ushauri wako muda huu wote,’’ alisema alipokuta na Ruto Alhamisi, Okotoba 25.
Mwanasiasa huyo ambaye aligonga vichwa vya habari 2007 baada ya kumzawidi Raila odinga gari aina ya Hummer SUV amekuwa jela tangu 2013.
Bosco alikamatwa akiwa Namanga baada ya kumtembelea wakili rafikiye Median Mwale aliyezuiliwa katika kituo cha polisi cha Arusha ya Kati.
Wawili hao wakifungwa baada ya kukubali makosa ya kusambaza noti bandia.
Maelfu walihudhuria sherehe ya kumkaribisha humu nchini Ijumaa, Oktoba 26 katika kaunti ya Kisii.