Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Kwamba mawe ya dhahabu, almasi, Tanzanite yaliyoko ardhini yana utajiri ambao hakuna nchi yoyote ya Ulaya wala Marekani inaweza kufikia thamani take.
Rutuba ya ardhi iliyoko. Tanzania ni zaidi ya majengo yote yaliyoko Ulaya na Marekani.
Samaki tulionao kwenye maziwa na bahari utajiri wake ni zaidi ya fedha zote zilizoko Ulaya na Marekani
Nchi yetu ni tajiri; tubadilishe mindset tu kuwa tajiri ni pamoja na kumiliki ng'ombe, mashamba kunywa maziwa kula chakula cha asili.
Kulala kwenye nyumba za tembe si umasikini ni mind satisfaction.