Billioni 6.9 hizi hapa

Billioni 6.9 hizi hapa

Vatican

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
22
Reaction score
4
Kuna mradi mkubwa wa umwagiliaji jamani wilayani Ulanga,kata ya Itete unaotumia 6.9 bln. Neema kwa wakazi wa vijiji vya Njiwa, Itete.
 
Ushajiuliza hizo hela kiasi gani kinaenda kwenye huo mradi na kiasi gani kinaenda kwenye fungu la ccm la uchaguzi 2015 na kiasi gani kinaingia matumbo ya mafisadi?

Ombea hizo hela zitumike ipasavyo ili wananchi wanufaike na huo mradi. la sivyo hizo hela zinaliwa zote.
 
Back
Top Bottom