Labda wadhamini hawakutoa pesaBilioni 87 ukitoa (minus) (Bil 20 za uwekezaji + mapato ya jezi + Idadi ya matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi na gari la simba + udhamini wa m-bet + udhamini wa NBC + udhamini wa Azam + goli la mama+ ndege ya mama + fedha za CAF + Aluminum + viingilio vya uwanjani + ada ya wanachama) = Y.
Wanasimba tafuteni thamani ya Y kisha mlinganishe na 87b anayosema mo.
Walikuja na ubaya ubwela, msimu ujao watakuja na nn?Labda wadhamini hawakutoa pesa
Duu ila wanachama wa Simba SC msimu huu lazima kieleweke, vinginevyo wataendelea kupiga kelelele nyuma ya mikamera
Mdhamini naye atakuwa anahutubia saa 4 nyuma ya mikamera nyumbani kwake, (You Tube)
ziko wapi, mbona hatuzioni, hizo mbona zingetosha kujenga uwanja wa kimataifa kabisa. alete mahesabu, zimefanya nini hizoBilioni 87 ukitoa (minus) (Bil 20 za uwekezaji + mapato ya jezi + Idadi ya matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi na gari la simba + udhamini wa m-bet + udhamini wa NBC + udhamini wa Azam + goli la mama+ ndege ya mama + fedha za CAF + Aluminum + viingilio vya uwanjani + ada ya wanachama) = Y.
Wanasimba tafuteni thamani ya Y kisha mlinganishe na 87b anayosema mo.
Wataendelea nao kwasababu unawasaidia sana, (ubwela part 2), kikikikiWalikuja na ubaya ubwela, msimu ujao watakuja na nn?
Heee, yamekuwa hayo kumbe? Ametumwa na nani awekeze b100? Kwa makubaliano Gani? Kumbe ni deni, maweeeee!!!Utakuja kufirwa mjini hapa ,kazi kukalisha mapumbu na kupiga hesabu pesa za wanaume wenzio ..kawekeza zaidi ya bilioni 100 Ina mana kama Kuna kidume aje kumpa bilioni 100 aondoke ...wewe ndio utaweza...? Hata ukoo wako wote wakichanga ...tafuta hela pimbi wewe
Matajiri wazuri zaidi ya mo wa kuidhamini Simba bila kelele nyingi kama hizi wapo wengi, lakini familia ya Dewji imehodhi ukiritimba wote wa kuidhamini Simba miaka yote. Kwanini wana Simba hawashtuki?Tufanye Mo asitoe hela, halafu tuone mbilinge za timu ikiwa chini ya wanachama kuanzia malipo ya mishahara na hela ya usajili wataitoa wapi
Mashabiki tunahitaji ushindi tu hayo mengine ni kelele, timu aachiwe tajiri asiwepo sijui mwakilishi wa wanachama hawa wanaturudisha nyuma sio Mo
Naombeni kujua nguvu ya mwakilishi wa wanachama wa Yanga(hata sina hakika kama kuna cheo cha mwenyekiti upande wa wanachama)
Vp GSM kodi analipa siku hizi??au atafanya kama home shopping center,kisha atafungua kampuni nyingine??Bilioni 87 ukitoa (minus) (Bil 20 za uwekezaji + mapato ya jezi + Idadi ya matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi na gari la simba + udhamini wa m-bet + udhamini wa NBC + udhamini wa Azam + goli la mama+ ndege ya mama + fedha za CAF + Aluminum + viingilio vya uwanjani + ada ya wanachama) = Y.
Wanasimba tafuteni thamani ya Y kisha mlinganishe na 87b anayosema mo.
Jibu hoja acha matusi,watu wenye matusi huwa wana upeo mdogo wa akiliUtakuja kufirwa mjini hapa ,kazi kukalisha mapumbu na kupiga hesabu pesa za wanaume wenzio ..kawekeza zaidi ya bilioni 100 Ina mana kama Kuna kidume aje kumpa bilioni 100 aondoke ...wewe ndio utaweza...? Hata ukoo wako wote wakichanga ...tafuta hela pimbi wewe
Mpumambavu wewe bladfool.Jibu hoja acha matusi,watu wenye matusi huwa wana upeo mdogo wa akili
Hataki kusema kama hizo 87 ni pamoja na mapato mengine au baada ya mapato mengineMimi sijaelewa kitu, inamaana Mo akitoa hizo pesa kwaajiri ya uendeshaji wa timu, mapato yote kutoka vyanzo vyote vya timu huwa anachukua yeye au inakuaje?