Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mkali anaye sumbua kunako game ya mziki na ngoma kali inayo kwenda kwa jina la sina jambo amekana vikal tuhuma za kubebwa na kudai kuwa yeye hajawahi kubebwa na hatakuja kubebwa bali ngoma zake ndo kali na zinazikilizwa na kila mtu
Kadai mtu anayesema yeye anabebwa inabidi apimwe akili maana yeye hajawahi bebwa
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app