HANA JIPYAAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mkali anaye sumbua kunako game ya mziki na ngoma kali inayo kwenda kwa jina la sina jambo amekana vikal tuhuma za kubebwa na kudai kuwa yeye hajawahi kubebwa na hatakuja kubebwa bali ngoma zake ndo kali na zinazikilizwa na kila mtu
Kadai mtu anayesema yeye anabebwa inabidi apimwe akili maana yeye hajawahi bebwa
View attachment 582274
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nyimbo za huyu jamaa unazielewa?
Kwa sauti ya Ney wa mitego andika vizuriNasikia kaziba pengo la Godzilla according to Ney wa mitego
Jamaa yuko vizur lakin hawez mfikia king zilaNasikia kaziba pengo la Godzilla according to Ney wa mitego
Nenga wako?chambeni ote ila nenga wangu mumuache......mzungu mzee[emoji104][emoji104]...
the guy yuko vizuri,ligi ndogo,raha aliyoshirikishwa,chafu pozi,mazoea,sina jambo...
na kune kushirikishwa hua anaumiza vibaya