Bilnass na Nandy wanategemea kupata mtoto

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wasanii Bilnas na Nandy wanateegemea kupata mtoto na kuna uwezekano mkubwa akawa wa kiume.
Taarifa zaidi inafuata
 
Ngoja nitunze ile video yao wakitiana madole huyo mtoto akija aione.
 
Cha ajabu mtoto akikua. anaona ile clip ya baba yake na mamake!....
 
Wasanii Bilnas na Nandy wanateegemea kupata mtoto na kuna uwezekano mkubwa akawa wa kiume.
Taarifa zaidi inafuata
Nabofya kikubwaa maana juzi karupia warumi kuwa hamisa na billnas penzi moto2 nika comments kuwa alete uthibitisho sio bla2 nyiiingii.. yaan wewe umenikosha sana.....
Hivi billnas kabila gani jamani?
 
Nabofya kikubwaa maana juzi karupia warumi kuwa hamisa na billnas penzi moto2 nika comments kuwa alete uthibitisho sio bla2 nyiiingii.. yaan wewe umenikosha sana.....
Hivi billnas kabila gani jamani?
Chagga moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…