Nowdays mabenki pia yamejikita katika uuzaji wa insurance products mfano kama vile CRDB kushirikiana na kampuni mbali mbali za BIMA kama vile SANLAM jubilee britam NIC na wengne wameingia ubia kuuza Bima hii kitu tunaita BANCASSURANCE yaani uuzaji wa Bima kupitia Mabenki